Mwenyekiti
wa tume ya mabadiliko ya katiba Jaji Mstaafu Joseph Warioba akiwaeleza
waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam jinsi
tume hiyo ilivyokaribia kuanza kwa awamu ya kwanza ya mchakato wa
kushauriana na wananchi katika ukusanyaji na kuratibu maoni ya katiba
mpya. Kulia ni Katibu wa Tume Asaa Rashid.
Baadhi
ya wajumbe wa Tume ya mabadiliko ya katiba wakimsikiliza Jaji Mstaafu
Joseph Warioba (hayupo pichani) wakati akiongea na waandishi wa habari
kuhusu jinsi tume hiyo ilivyokaribia kuanza kwa awamu ya kwanza ya
mchakato wa kushauriana na wananchi katika ukusanyaji na kuratibu maoni
ya katiba mpya.
Mwenyekiti
wa Tume ya mabadiliko ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph Warioba (kulia)
akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa tume hiyo mara baada ya kumaliza
kuongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Tume hiyo
karibu itaanza awamu ya kwanza ya mchakato wa kushauriana na wananchi
katika ukusanyaji na kuratibu maoni ya katiba mpya.
Jaji
Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani akiwaeleza waandishi wa habari (hawapo
pichani) jinsi walivyo na nafasi kubwa ya kufanikisha mchakato wa
katiba kwa kutangaza maoni ya wananchi ili waweze kuchagua aina ya Taifa
na Katiba wanayoitaka. Wanaomsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa tume ya
mabadiliko ya katiba Jaji Mstaafu Joseph Warioba (katikati) na Katibu wa
Tume Assaa Rashid.
Baadhi
ya wajumbe wa Tume ya mabadiliko ya katiba wakimsikiliza Jaji Mstaafu
Joseph Warioba (hayupo pichani) wakati akiongea na waandishi wa habari
kuhusu jinsi tume hiyo ilivyokaribia kuanza kwa awamu ya kwanza ya
mchakato wa kushauriana na wananchi katika ukusanyaji na kuratibu maoni
ya katiba mpya.
Mwandishi
wa Habari Mwandamizi wa Shirika la Habari la Uingereza Idhaa ya
Kiswahili (BBC) Erick Nampesya akishukuru wa niaba ya wanahabari mara
baada ya kumalizika kwa mkutano wa mabadiliko ya katiba uliofanyika leo
jijini Dar es Salaam. Mkutano huo uliandaliwa naTume ya mabadiliko ya
katiba.
To the extent possible under law,
Filex Mmari
has waived all copyright and related or neighboring rights to
blog.
This work is published from:
Tanzania, United Republic of.
No comments:
Post a Comment