Nitatoa
tamko la kina baadae kuhusu kilichotokea lakini kwa ufupi ubovu wa bajeti hii
ni matokeo ya udhaifu wa Rais Kikwete, yeye ndiye aliyesaini Mpango wa Taifa wa
miaka mitano kama Kiongozi Mkuu wa Nchi tena kwa wino mwekundu kama Amiri Jeshi Mkuu.
Na
yeye ndiye Mwenyekiti wa baraza la mawaziri, bajeti hii iliyoacha kuzingatia
mpango wa Taifa imepita kwenye baraza alilloliongoza, pia kushindwa kutekelezwa
kwa bajeti iliyopita ni matokeo pia ya udhaifu wa taasisi ya Urais.
No comments:
Post a Comment