• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Sunday, June 10, 2012

    TANZANIA FOOTBALL NEWZ: AZAM FC KUANZA MAZOEZI KESHO

    *M* *ABINGWA wa Kombe la Mapinduzi Azam Fc Jumatatu ya inatarajiwa kuanza kujinoa kwa ajili ya michuano ya kombe la Kagame itakayoanza kutimua vumbi jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwezi huu.* Msemaji wa msaidizi wa Azam Fc Jaffer Idd Maganga amesema kwamba wachezaji wote wanatakiwa kuripoti kambini siku hiyo tayari kuanza mazoezi yao.Azam Fc inayonolewa na Muingereza Stewart Hall, pia ni wa shindi wa pili wa ligi kuu soka Tanzania Bara

    No comments:

    3500K