• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Tuesday, June 19, 2012

    TANZANIA ENTERTAINMENT NEWS: LULU ARUDISHWA MAHABUSU



    ELIZABETH Michael “Lulu” jana alifikishwa mahakamani na kurejeshwa mahabusu bila kupandishwa kizimbani na kesi yake kupangiwa kurudi Julai 2
    Mshtakiwa huyo alifikishwa mahakamani hapo lakini hakupandishwa kizimbani na badala yake alirudishwa mahabusu

    Katika uchunguzi uliofanywa na mtandao huu ulibaini kuwa, Mahakama Kuu imeamuru mwenendo wa kesi katika mahakama hiyo usimame kufuatia mchakato unaoendelea wa uchunguzi wa kubaini umri wa mshitakiwa huyo.

    Hivyo mahakama kuu ilitoa tamko kuwa itashughulikia mwenendo wa kesi hiyo hadi hadi muafaka wa umri huo utakapotatuka

    No comments:

    3500K