• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Wednesday, June 20, 2012

    MAMA WEMA ATOA MWEZI NA ONYO KALI_TAKE ONE!


    Nanukuu kutoka Take One ya Clouds Tv; “Marafiki ndio wanaompoteza mwanangu Wema kwani ndio wanaomchimba na baadae kutoa siri zake hadharani na magazeti yanapata kumwandika ili kupata pesa kupitia mgongo wa mwanangu. Na sasa natoa muda wa mwezi mmoja tu kwa magazeti yote ya udaku yatakapomwandika Wema wajue hawapambani na Wema bali wanapambana na mimi na nitasimama nao kizimbani pamoja na mwanasheria wangu”. Huku akiendelea kumzungumzia mwanae alisema kuwa marafiki ndio wanaomfanya mwanae awe na tabia mbaya kwani wanamwendea kwa
    waganga wanamfanyia madudu yao na kasha haohao ndio wanaokuja kwake na kumwambia ampeleke Wema kwa mganga kusuruhisha matatizo yake, Lakini mama Wema alitoa tahadhari kwamba sasa ameshamtengeneza mwanae hivyo wake chonjo hawataweza kumfanya tena awe kama wanavyotaka wao na kusisitiza kuwa hao marafiki wanaojidai kuwa ni kipenzi cha Wema ndio wanaompoteza mwanae na yeye hapendi hata kuwaona kwani marafiki wa mwanae ni familia yake tu!! Swali, Je rafiki aliyekura nae kiapo kwenye kipindi hikohiko kilichoneshwa tarehe 19/4 je naye ana lengo la kumpoteza mwanae!?.

    No comments:

    3500K