• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Tuesday, June 19, 2012

    KIKWETE AKABIDHIWA JEZI YA NEW YORK KNICKS





      Rais Jakaya Kikwete akipokea jezi ya timu ya Mpira wa Kikapu inayocheza ligi ya NBA ya Marekani New York Knicks toka kwa Rais wa Shirikisho la  Basketball (TBF) Bw Mussa Mziya na Makamu wake Bw Phares Magessa walipomtembelea leo  Ikulu Jijini Dar es salaam  na kumueleza mipango ya chama hicho katika kuinua vipaji na viwango vya mchezo.
     
     Rais Jakaya Kikwete akipokea mpira toka kwa Rais wa Shirikisho la  Basketball (TBF) Bw na Makamu wake Bw Phares Magessa walipomtembelea leo  Ikulu Jijini Dar es salaam  na kumueleza mipango ya chama hicho katika kuinua vipaji na viwango vya mchezo
    Rais Jakaya Kikwete akiongea na Rais wa Shirikisho la Basketball  (TBF) Bw Mussa Mziya na Makamu wake Bw Phares Magessa walipomtembelea leo  Ikulu Jijini Dar es salaam  na kumueleza mipango ya chama hicho katika kuinua vipaji na viwango vya mchezo.

    No comments:

    3500K