Kama
mfuatiliaji mzuri wa myenendo ya mastaa wa Bongo utaikumbuka ile kauli
ya Ambarozi wa Bongo hapa namzungumzia Wolper ambaye siku kadhaa
zilizopita alisikika akitoa kauli ya kwamba "Atamnunulia Wema Sepetu
kitanda", Kauli ambayo leo hii tumeona kwenye kipindi cha Take One cha
Zamaradi pale Clouds Tv mama huyo akiongea kwa jazba juu ya kauli ya
Wolper huku akitoa maneno makali na kuonesha chumba alichomlelea mwanae
toka akiwa mdogo hadi alipohamia kwenye nyumba mwenyewe anazoziita za
vichochoroni na kusema Kuwa Wolper asijaribu kujifananisha na mwana

No comments:
Post a Comment