• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Sunday, June 10, 2012

    Huduma mpya ya airtel jiunge Supa5 yawavutia wakazi wa iringa

    Sehemu ya umati wa wakazi wa Iringa uliofurika jana kwenye uwanja wa Mwembe Togwa wakati wa utambulisho wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.huduma hiyo itatambulishwa hivi karibuni katika mkoa wa Arusha na baadaye jijini Mwanza.Airtel Jiunge na Supa

     Mmoja wa Mwanamazingaombwe wa mjini Iringa aliyejitambulisha kwa jina la Almas a.k.a Afande Sele akionesha akadabla akadabla zake mbele ya umati wa wakazi wa Iringa waliojitokeza kwa wingi jana jioni kwenye uwanja wa Mwembe Togwa,mjini Iringa wakati wa utambulisho wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.huduma hiyo itaendelea kutambulishwa tena katika mkoa wa Arusha na baadaye jijini Mwanza

    wasanii chipukizi wa muziki wa bongofleva,Aston Mpiluka (kulia) na James Shonga wakishindana kughani mbele ya umati wa wakazi wa Iringa waliojitokeza kwa wingi jana jioni kwenye uwanja wa Mwembe Togwa,mjini Iringa wakati wa utambulisho wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.huduma hiyo itaendelea kutambulishwa tena katika mkoa wa Arusha na baadaye jijini Mwanza.

    Ilizinduliwa kwa mara ya kwanza jijini Dar es Salaam hivi karibuni.Ukitaka kujiunga na huduma hiyo ANDIKA SMS YENYE NENO ‘WIKI’  AU WIKI UTUME KWENDA 15548

    Wakazi mbalimbali wa mjini Iringa wakiendelea kuhamia Airtel na kujipatia huduma mbalimbali zilizokuwa zikipatikana wakati wa utambulisho wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel kwa wateja wake.

    No comments:

    3500K