• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Tuesday, June 19, 2012

    DIAMOND ANUNUA GARI JIPYA LA TSH MIL. 60











    Staa wa muziki wa kizazi kipya  Bongo, Naseeb Abdul  ‘Diamond  Platinumz’ amevuta mkoko wa Kijanja  wenye thamani ya ‘mkwanja wa Kibongo Milioni  60 keshi.
    Akizungumza na Teentz.com  muda mfupi  baada ya  kupokea  ‘dinga’ hiyo aina ya Land Cruiser Prado TX  kutoka kwa wakala aliyekuwa akishughulikiwa  mpango mzima  wa  kuingia kwake  hapa  Bongo, Diamond  alifunguka kuwa alikuwa na mpango wa kuvuta  mkoko ‘dizaini’ hiyo kitambo lakini  kuna mambo kadhaa yakawa …

    No comments:

    3500K