• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Monday, June 18, 2012

    CHADEMA wawasha moto mkoani Iringa


    MAMIA WAKUSANYIKA MAKUMI WAJIVUA MAGAMBA
                                   Umati uliokusanyika kwa ajili ya kuwasikiliza wabunge wa chadema

          Peter Msigwa akimkaribisha Milya aliyekuwa kada wa C.C.M na sasa ameamua kuwa CHADEMA

                                       Milya akielezea mambo mbalimbali juu ya siasa ya Tanzania

    WATU WAKAJIVUA MAGAMBA

                        Dkt. Mutabazi Lugaziya baada ya kurudisha kadi ya C.C.M na kuchukua ya CHADEMA


    Zuberi Mwakyula aliyewahi kugombania ubunge kwa tiketi ya C.C.M naye akarudisha kadi na hapo Mh. Zito anaonekana akiiangusha chini kadi hiyo.

                                
     Mheshimiwa Zito Kabwe akihutubia wananchi wa manispaa ya Iringa katika kata ya Kiesa
    Zito Kabwe akiagwa baada ya kumaliza hotuba yake akiwa pamoja na Mh. Peter Msigwa

    No comments:

    3500K