• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Tuesday, June 12, 2012

    BIFU LA 50 CENT NA OPRA WINFREY LAFIKIA HAPA!!

    Baada ya kuwa na bifu lililodumu toka mwaka 2006 hadi kufikia mwaka huu wa 2012 mastaa wawili kutoka pande za Obama wamekaa chini na kuamua kulifutilia mbali bifu hilo na kuganga ya mbele. Bifu hilo lililoanza mwaka 2006 baada ya 50 cent kumtukana Opra kwa kile alichodai kuwa Mwanamama huyo ni mbaguzi kwani kwenye show yake inayorushwa na kituo chake cha Luninga cha OWN amekuwa akiwabagua wasanii
    weusi wa HipHop na
    kuwapendelea vibibi vizee vya kizunguu ambapo kutokana na upendeleo huo 50 Cent aliamua kumwita mbwa wake jina la Oprah kutokana na kumchukia mwanamama huyo, Lakini jana kupitia new Episode ya kipindi cha Oprah show wawili hao waliweza kukaa na kumaliza tofauti zao hizo.

    No comments:

    3500K