• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Sunday, June 10, 2012

    AMREF yahamasisha vijana mkoani Iringa kuhusu afya ya uzazi

                                  Naibu meya Gervas Ndaki (kushoto) akisikiliza vijana kwa umakini kabisa
     
                                   Dogo Scooby akilishambulia jukwaa

                                    Huyu mama akaamua kuonesha ushirikiano wa kutosha

        Hapa makubaliano na msanii maarufu wa Bongo flavour Squeezer yakawa yanaendelea kabla hajafanya    show
                                           Kikundi cha Mzizi Casual Group wakicheza ngoma za asili

      
                                          Anajiita Raisi wa Iringa akifanya makamuzi vyema kabisa

                 Kilikuwepo chumba cha sindano ambapo mtu yoyote aliruhusiwa kwenda kupima afya yake
    Waigizaji wa kikundi cha Mzizi casual group wakifanya kazi yao
                                               Je ukitazama vijana hao utagundua kuna aliyeathirika?
    Kijana Rashidi akielezea historia yake kwa ufupi baada ya kukiri kwamba anaishi na virusi vya ukimwi kwa muda mrefu.

    No comments:

    3500K