WATUMAJI wa mtandao wa kijamii wa Facebook wamekuwa wakibabaishwa na meseji yenye ujumbe feki inayowaonya wasipokee maombi ya urafiki kutoka kwenye akaunti inayoitwa* Jayden K Smith*. Meseji hiyo inayopitia Facebook Messenger, inaonya kwamba akaunti hiyo ni ya mdukuaji wa mitandao “aliyeunganisha mfumo huo na akaunti yako ya Facebook”. Wanaotilia maanani meseji hiyo, wanaisambaza kwa watu wengine, lakini kutokana na meseji nyingi za Facebook, meseji hiyo ni ya uongo. Hakuna ushahidi unaoonyesha akaunti yenye jina la *Jayden K Smith* kusambaa kwa watumiaji,
Tuesday, July 11, 2017
Home
Unlabelled
Jina Jayden K Smith Latumika Kusambaza Meseji Feki ya Udukuzi
No comments:
Post a Comment