• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Tuesday, September 6, 2016

    RAYMOND, AVRIL WA KENYA NI 'WAPENZI'

    filex mmari

    Raymond alisababisha yowe kubwa mwishoni mwa wiki katika show ya WCB mjini Mombasa alipompandisha mrembo wa Kenya, Avril aliyekuwa mmoja wa watu waliohudhuria. *Sikutegemea kabisa kwamba nitamuona Avril katika show , walikuja watu wengi lakini wakati nipo stejini nikaona VIP kama kuna mtu kakaa, kuangalia vizuri nikaona ni Avril so kwa heshima yake na thamani ya muziki wake nikaona kaja kwenye show ambayo naperform nikaona kabisa ni heshima kubwa kaonesha, nisingeweza kuonesha tu kwa kutaja jina lake kwa mbali, nikatamani aje stejini, nikatamani niwe naye stejini

    No comments:

    3500K