*[image: vlcsnap-165086] * *Jerry Kato aliyedai kuzaa na mama Diamond.* *STORI: Issa Mnally na Mussa Mateja, Ijumaa* Dar es Salaam: Kumekuwepo na usiri juu ya baba wa mdogo wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Platnumz lakini huenda utata ukafika mwisho baada ya aliyekuwa DJ maarufu jijini Dar kuibuka na kudai kuwa ndiye aliyemzaa mtoto huyo na mama Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ akimpinga na kuamua kumuweka wazi baba halali wa Esma. [image: ESMA.jpg] *Esma Platnums* ILIKUWAJE? Mapema wiki hii, mtu mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Jerry Kato mkazi wa Boko jijini Dar
No comments:
Post a Comment