Hayo yalisemwa na Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto, Mheshimiwa Ummy Mwalimu (Mb.)wakati akitoa taarifa ya nchi katika
Mkutano wa 60 wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa kuhusu Hali ya Wanawake
Duniani (CSW).
Mhe Ummy alieleza kuwa Adhma ya Mheshimiwa Dkt John Pombe Magufuli, Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kutoa Elimu bure kwa shule za Msingi na
Sekondari itakuwa na matokeo makubwa ya kuongeza udahili wa wanafunzi
katika Elimu ya msingi, Sekondari na Elimu ya juu
No comments:
Post a Comment