*Muuguzi wa zamu Bi. Neema Bayo akimfunika majeruhi Bi. Neema Teti
aliyemwagiwa maji ya moto mwili mzima, kwa kudaiwa kuwa na uhusiano na mume
wa mtu.*
*Bi. Neema Teti aliyemwagiwa maji ya moto mwili mzima, kwa kudaiwa kuwa na
uhusiano na mume wa mtu. *
*Bi. Neema Teti aliyemwagiwa maji ya moto mwili zima, kwa kudaiwa kuwa na
uhusiano na mume wa mtu.*
* Na Gadiola Emanuel -Arusha*
*Mwanamke mmoja mkazi wa Mbuguni Arusha,Bi. Neema Teti amejeruhiwa vibaya
kwa kumwagiwa maji ya moto katika sehemu mbalimbali za mwili wake katika
kisa kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi
No comments:
Post a Comment