Pages - Menu

Friday, November 1, 2013

VIDEO MPYA: ROMA - 2030

Ni video nyingine mpya kabisa kutoka kampuni ya Nisher Entertainment chini ya Director Nisher Baybee, ni video ya ROMA inayojulikana kama 2030 ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu na raia wengi. Kuwa wa kwanza kuiangalia video hii hapa chini...

No comments:

Post a Comment