Pages - Menu

Friday, November 1, 2013

Bongo muvi wamsusia wema msiba.

Huku akiwa na majonzi ya kuondo-kewa na baba yake mzazi, Balozi Isaac Abraham Sepetu aliyefariki dunia Jumapili iliyopita kwa ugonjwa wa kisukari, baadhi ya wasanii wanaounda... Klabu ya Bongo Movie (muvi) Unity wanadaiwa kumsusia msiba mwingizaji mwenzao, Wema Isaac Sepetu. Habari kutoka chanzo chetu makini zilidai kuwa hoja dhaifu iliyotumiwa na wahusika hao ni kwamba Wema huwa haendi kwenye misiba ya wenzake hivyo naye amzike baba yake mwenyewe. MFANO; MSIBA WA SAJUKI Ulitolewa mfano wa msiba wa aliyekuwa staa wa filamu za Kibongo,

No comments:

Post a Comment