*Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea mbele jopo la Marais wastaafu wa
Afrika kuhusu linaloongozwa na Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe Joaquim
Chissano **anayefuatana na Rais Mstaafu wa Botswana Mhe Festus Mogae leo
Novemba 25, 2013 Ikulu jijjini Dar es salaam. Mhe. Chissano, ambaye ni
mwenyekiti wa Jopo **hilo pamoja na Mhe Mogae, walifika Ikulu kusikiliza
upande wa Tanzania kuhusu mgogoro wa mpaka na nchi ya Malawi, baada ya
kufanya hivyo hivi karibuni **huko Blantyre. *
*Picha na Ikulu*
No comments:
Post a Comment