Gari lenye namba T319BCU upande wa nyuma na Kichwa namba T885 CBS aina
ya Roli likiwa limepinduka
Mbolea ikiwa imemwagika
Gari lenye namba T319BCU upande wa nyuma na Kichwa namba T885 CBS aina
ya Roli upande wa mbele baada ya kupata ajali
Wakazi Mbalimbali wakiwa wanashuhudia ajali hiyo
Hii ndio Mbolea ambayo wananchi wameondoka nayo yote
Hili ni eneo Jirani na ajali ilipo tokea
Mabaki ya Mbolea hiyo.
Picha zote na Mbeya yetu
No comments:
Post a Comment