Kampuni ya utengenezaji,uuzaji na usambazaji wa filamu za kitanzania ya
Proin Promotions Limited inatarajia kuingiza movie yake nyingine sokoni
mapema wiki hii.
Filamu ya "FIGO" ni filamu ya kitanzania ambayo imechezwa na waigizaji
wakongwe katika tasnia ya filamu nchini na Ni filamu ambayo
inasimimua,kufundisha na kuelemisha, Filamu ya Figo ni moja kati ya
filamu ya Kitanzania ambayo imechezwa kwa ustadi wa hali ya juu na
kutengenezwa kwa hali ya juu na kampuni Mahiri ya Utengenezaji na Uuzaji
wa Filamu Tanzania ya Proin Promotions Limited
Proin Promotions ni moja ya kampuni kubwa ya utengenezaji,uuzaji na usambazaji wa filamu Tanzania ambayo tayari ishaingiza Sokoni Filamu Mbili ambazo zinafanya Vizuri kama vile Foolish Age, Long Time na sasa inakuletea Filamu ya FIGO ambayo imechezwa na Jennifer Kyaka ambaye anafahamika kama Odama, Irene Uwoya, Rachel Haule, Stanley Msungu na wengineo wengi.
Filamu ya "FIGO" inatarajia kuingia sokoni muda wowote kuanzia sasa ambapo itapatikana katika maduka yote ya Uuzaji wa filamu na Kwa mawakala Wao Nchini Nzima.

No comments:
Post a Comment