WEMA SEPETU AKIWA NA MENEJA WAKE...
Tukio hilo lilizua minong'ono kutoka kwa mashabiki wake pamoja na mastaa wenzake ambapo walishangazwa na Wema kutokuwepo msibani....
Meneja wa Wema Sepetu ambaye ni Bwana Martin Kadinda alisema kuwa sababu iliyomfanya mwanadada Wema kushindwa kufika msibani ni kuwa siku ambayo marehemu Sajuki anafariki dada yake na Wema nae alikuwa amejifungua Mtoto.
Pia alidai kuwa siku ambayo Sajuki anazikwa Wemaalikuwa
Studio akirekodi ngoma yake mpya ambayo anatarajia kuitoa mwanzoni
mwa mwaka huu ili na yeye ajiweke sawa katika tasnia hii ya muziki wa
kizazi kipya.
No comments:
Post a Comment