Pages - Menu

Wednesday, January 2, 2013

Siri alioitoa Msanii Roma Mkatoliki Kuhusu Utabili aliutabili Marehemu Sajuki wakiwa kwenye show iliyomfanya akaanguka Stejini

chanzo flclassic blog


Kupitia ukurasa wake wa Facebook Rapper  Roma Mkatoliki amesimulia maneno ya mwisho aliyoambiwa na marehemu Sajuki.


NINACHOKUMBUKA SHOW YA MWISHO ARUSHA YA KUMCHANGIA SAJUKI!!TUKIWA CHUMBANI KWAKE MIMI, WASTARA, DJ CHOKA, YUSUPH MLELA NA WENGINEO, SAJUKI ALIMSHIKA MLELA MKONO HUKU AKIMTAZAMA KWA HUDHUNI NA AKAMWABIA:


“SITAMALIZA SIKU 7 NITAKUWA NIMEIAGA DUNIA” 


ILIKUWA HARD TYM SANA KWETU NA WENGI TULILENGWA NA MACHOZI KWA KAULI ILE!!



LEO LIMETIMIA LILE NENO…oooh god mfutie dhambi zake na muepushe na adhabu za huko!! nasisi tupate somo kuwa maisha yanaweza yakabadilika within a second!!Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie na apumzike kwa amani!!! poleni sana marafiki wenzangu.



Msiba wa sajuki upo nyumbani kwake maeneo ya tabata bima, na marehemu sajuki anategemewa kuzikwa siku ya ijumaa hii .yote ni kuwasubiri ndugu kutoka mkoani Ruvuma..


chanzo flclassic blog 

No comments:

Post a Comment