Pages - Menu

Wednesday, January 2, 2013

SAJUKI IS NO MORE




Msanii Juma Kilowoko (SAJUKI)amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya Taifa Muhimbili. 
Kwa mujibu wa Katibu wa chama cha waongoza Filamu Wilaya ya Ilala,Rajabu Amiri hivi karibuni Sajuki alikuwa  anasumbuliwa na tatizo la upungufu wa damu

1 comment: