Kwa taarifa tulizozipata ni kwamba Omary alilazwa katika hospital ya Temeke na baadaye aliweza kupata unafuu wa kurudi nyumbani lakini Omary akazidiwa tena na kurudishwa hospital na hapo ndipo mauti yalipomkuta usiku wa kuamkia wa leo katika Hospital hiyo ya Temeke.Mazishi yanafanyika nyumbani kwao Temeke Mikoroshi.Tulimpenda ila mungu amempenda zaidi rest in peace Omary.
Msanii wa muziki style ya mchriku maarufu kama Omary Omary ambaye kipindi cha nyuma aliwahi kutamba na ngoma kali inayokwenda kwa jina la Majaliwa amefariki dunia.
Kwa taarifa tulizozipata ni kwamba Omary alilazwa katika hospital ya Temeke na baadaye aliweza kupata unafuu wa kurudi nyumbani lakini Omary akazidiwa tena na kurudishwa hospital na hapo ndipo mauti yalipomkuta usiku wa kuamkia wa leo katika Hospital hiyo ya Temeke.Mazishi yanafanyika nyumbani kwao Temeke Mikoroshi.Tulimpenda ila mungu amempenda zaidi rest in peace Omary.
No comments:
Post a Comment