Pages - Menu

Thursday, January 10, 2013

PICHA:LADY J DEE NA GADNER KATIKA SAFARI YAO YA KUPANDA MT.KILIMANJARO


 Ikiwa ni siku ya nne toka waanze safari yao ya kuupanda Mlimani na hizi ni baadhi ya picha ambazo zikionyesha wako katika hatua nzuri katika kuupanda mlima huo.
Maendeleo ya  safari mpaka sasa
January 8-Mandara Hut(2700m)-Horombo Hut(3720)
Masaa ya kutembea:5
January 9-Acclimatization Day at Horombo Hut
Masaa ya kutembea :4
January 10 Horombo Hut(3200km)-kibo Hut(4730)
Masaa ya kutembea :5
Sasa leo wameanza kuelekea Uhuru Peark(5850) kupitia Gillman's point(5685m)

Credit to Killdovetour ambayo inasimamia tour hii nzima na upigaji picha.







No comments:

Post a Comment