Pages - Menu

Thursday, January 10, 2013

HII AJALI ILITOKEA JANA,BASI LA BUNDA EXPRESS



Eneo la katikati ya Lugeye na Nyanguge basi la abiria la 'Bunda Express' lenye namba za usajili T 782 BKZ likitokea Musoma kuelekea Mwanza muda wa saa mbili asubuhi jana lilipata ajali mbaya, mazingira yanaonesha kuwa idadi kubwa ya watu wamekutwa na umauti na wengine kuwa majeruhi na mvua kubwa ilikuwa ikinyesha. [image: Eneo la katikati ya Lugeye na Nyanguge basi la abiria la 'Bunda Express' lenye namba za usajili T 782 BKZ likitokea Musoma kuelekea Mwanza muda wa saa mbili asubuhi jana lilipata ajali mbaya, mazingira yanaonesha kuwa idadi kubwa ya watu wamekutwa na umauti na wengi.

No comments:

Post a Comment