Pages - Menu

Monday, January 21, 2013

MSANII AMAZONI WA WIMBO WA CHECHERUMBA AJITOA MTANASHATI



MSANII wa muziki Tanzania maarufu kama *Amazon*, ameamua kuweka wazi kuwa amejitoa *Mtanashati Entertainment*, kwa kile alichodai kuwa boss wa kundi hilo* Ustadhi Juma na Musoma*, alikuwa anataka kumpa mkataba wa milele, kitu ambacho kimemfanya *Amazon* aone ni lengo la kummaliza kimuziki. source-dartalk

No comments:

Post a Comment