Msanii Linex ambaye anatamba na ngoma ya 'Aifola' amesema yuko mbioni
kuachia ngoma yake mpya ya mwaka 2013 ambayo humo ndani ameimba kwa
lugha 4 tofauti tofauti.Linex alisema kuwa ngoma hiyo mpya ameimba kwa
lugha ya Kiswahili,Kiha,Kiganda na Kiingereza.Linex alisema kuwa ngoma
hiyo imefanywa na Fundi Samwel ambaye kapiga mixing huko Sweden na vocal
amefanya na Tudd Thomas.Linex alisema kuwa pamoja na kwamba Produza
Fundi Samwel hayuko nchini lakini aliingia mkataba nae wakufanya nae
kazi na alisaini kabla produza huyo hajaondoka kurudi kwao Sweden.
Tuesday, January 22, 2013
Home
Unlabelled
LINEX KUTOA NGOMA AMBAYO AMEIMBA KWA LUGHA TOFAUTI TOFAUTI 4
No comments:
Post a Comment