BAADA ya tuhuma chafu zinazomkabili baunsa wa msanii Dully Sykes ,
anayefahamika kama Arafat Ngumi Jiwe, za kumlawiti mtoto, sasa msanii
huyo ameamua kuwambia mashabiki wake kuwa amesitishwa na ishu hiyo kwani
alikuwa hajui kama jamaa ana tabia hiyo chafu hivyo anawasihi
watanzania wote kujua kwamba hajui lolote juu ya hilo na kwa sasa hawezi
kuendelea kufanya naye kazi ili kujitoa kwenye ishu hiyo chafu.
Tuhuma za baunsa huyo kumlawiti mtoto zinaweza kuwa na picha mbaya kwa msanii huyo kwani watu wamemfahamu bausa huyo kupitia Dully, hivi sasa anatafuta mtu mwingine ambaye anaweza kuchukua nafasi hiyo.

No comments:
Post a Comment