• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Thursday, January 17, 2013

    DADA WA KAZI AJINYONGA MAENEO YA TABATA DAR ES SALAAM



    * Dada wa kazi za nyumbani wa eneo la Tabata Barakuda aliyejiua jana saa moja usiku na bado chanzo hakijulikani Machela ya kubebea mwili wa marehemui ilifika Waliuingiza mwili wa mdada huyo na kuondoka nae ambapo blog hii itaendelea kuwajulia taarifa kuhusiana na kile kilichomsibu mdada huyu Watu wakiuchungulia mwili wa marehemu Umati wa watu ulikusanyika kujua nini chanzo Inasemekana kuwa hilo ni tukio la pili kujitokeza katika eneo hilo Hapa kazi yao ikiendelea ya kuhoji wahusika Maaskari Polis wa kituo cha Rozana wakichukua maelezo 

    No comments:

    3500K