Haya ni maandalizi ya awali yakifanyika,Mafundi wakifunga vyombo vya muziki n.k |
Director Raqey toka I-VIEW akifanya yake pia... |
Hawa ni baadhi ya Models waliyoshiriki katika Video hii.... |
Esma Khan |
Lady Naa |
Super Model Nance |
Jully |
Hapa Wasafi tukitupia nini na nini... |
Mose Iyobo |
Dumi Utamu |
Mose Iyobo,Emma Platnumz & Rama (Wasafii) |
Hata mimi kiti hiki kilikuwa kinanihusu pia.... |
Nikifanya Interview na Martin Kadinda |
Me,Raqey & Martin |
Ndio kwanza shughuri imeanza ....Platnenga tena nikujipigia tu Drums |
Mose Iyobo |
Emma Platnumz |
Dumi Utamu |
Nisha kageuka kuwa Pedeshee wa Kike nikumwaga minoti tu LOL! |
& Ma` Sister Esma |
Hawa ni Wazee waliyoshiriki pia kwenye Video hii |
No comments:
Post a Comment