Msani wa
Bongo Fleva maarufu kama Linex Sunday baada ya kufanya
vizuri katika ngoma zake mpaka kupelekea mashabiki kukubali kazi
zake,sasa leo kupitia katika ukurasa wake ameamua kuachia ngoma mpya ya
kundi lao linalofahamika kwa jina la Voice of Africa( V.O.A).Hii hapa chini
No comments:
Post a Comment