Q Chief na produza wake wa sasa Mswaki
Msanii mwenye takribani miaka 10 kwenye muziki wa Bongofleva Q Chief
amesema kuwa anaomba msamaha kwa wale aliowakosea.Q Chief alikiri
kufanya makosa ikiwemo matumizi ya madawa ya kulevya wakati akihojiwa
kwenye kipindi cha Powerjams nakusema kuwa hivi sasa ni mtu mwingine na
yote ilikuwa ni mitihani ya maisha.Msanii huyo alisema hivi sasa pia
yuko kwenye uongozi mpya na pia amerudi kwa staili nyingine ambayo
anaamini kuwa itamfikisha mbali nje ya Tanzania....SIKILIZA wimbo huo mpya ambao amefanya kwa staili tofauti kabsaa
No comments:
Post a Comment