MWIGIZAJI MKONGWE NA MAARUFU NCHINI NIGERIA AFARIKI DUNIA
Mwigizaji maarufu nchini Nigeria Pichani anayejulikana kwa jina la Enebeli
Elebuwa amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo huko India ambako alikuwa
akipatiwa matibabu.
Marehemu enzi za uhai wake.
*Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahali pema peponi *
No comments:
Post a Comment