Pages - Menu

Wednesday, December 5, 2012

MSHINDI WA MAISHA PLUS AKABIDHIWA KITITA CHAKE



* * *Meneja wa Benki ya NMB, Tawi la Makao Makuu, Benadicta Byabato (kushoto) akimkabidhi mshindi wa Maisha Plus Seasons 3 Bernick Kimiro kitita cha Shilingi Milioni 20 baada ya kuibuka mshindi katika shindano lililomalizika juma lililolipita jijini Dar es Salaam.* ** *Bernick Kimiro akifungua akaunti NMB leo huku kaka yake Abdulazizi Abasi (kushoto aliyesimama) na ofisa wa benki hiyo wakifuatilia kwa makini* ** *Mtoto Amarisa Sevuri akiwa ameshika kitita cha Bernick Kimiro na Rachel Ndauka ambaye ni rafiki yake na Bernick Kimiro*

No comments:

Post a Comment