*
*
*Meneja wa Benki ya NMB, Tawi la Makao Makuu, Benadicta Byabato (kushoto)
akimkabidhi mshindi wa Maisha Plus Seasons 3 Bernick Kimiro kitita cha
Shilingi Milioni 20 baada ya kuibuka mshindi katika shindano lililomalizika
juma lililolipita jijini Dar es Salaam.*
**
*Bernick Kimiro akifungua akaunti NMB leo huku kaka yake Abdulazizi Abasi
(kushoto aliyesimama) na ofisa wa benki hiyo wakifuatilia kwa makini*
**
*Mtoto Amarisa Sevuri akiwa ameshika kitita cha Bernick Kimiro na Rachel
Ndauka ambaye ni rafiki yake na Bernick Kimiro*
No comments:
Post a Comment