Msanii Size 8 kutoka Kenya yasemekana yeye ndo anaweza kuwa msanii wa
kike anayelipwa zaidi hivi sasa Africa ya Mashariki.Hii ni kutokana na
mbali na muziki anafanya deal na makampuni makubwa.Size 8 hivi sasa ni
kama mtangazaji kwenye Kampeni kubwa inayoendelea nchini humo 'Niko Na
SafariCom Campagn', ni mtangazaji pia katika kipindi cha mashindano ya
kucheza nchini Kenya 'Sakata' pia anafanya kazi na Coca Cola Club 254 with Airtel na Coca Cola.Kimuziki hivi sasa anafanya poa na ngoma ya 'Vidonge'
Monday, December 17, 2012
Home
Unlabelled
MSANII WA KIKE ANAYELIPWA ZAIDI HAPA AFRIKA YA MASHARIKI
No comments:
Post a Comment