*Stori: Sifael Paul*
Hakuna tamu isiyokuwa nachungu! Kwenye ulimwengu wa mastaa Bongo kulikuwa
na matukio ya mengi ya kusikitisha mwaka huu lakini Yafuatayo ndio mazito
zaidi kwa mwaka 2012,Risasi jumamosi lina ripoti kamili.Matukio hayo ya
huzuni yamegawanyika makundi tofauti yakiwemo yale ya vifo, kuvunjika kwa
ndoa na wengine kutupwa rumande kwa misala mbalimbali.
*Said Fundi ‘Mzee Kipara’ na Steven Kanumba enzi za uhai wao*
*VIFO*
Mwaka 2012 umepewa jina la mwaka wa shetani katika sanaa ya Kibongo baada
ya kufariki kwa vichwa kibao katika tasnia mbalimbali.
*MZEE KIPARA*
1 comment:
Bongo kwa skendo duuuh
Post a Comment