MSANII aliyewahi kufanya vizuri kwenye filamu za kibongo *Lucy Komba*,
ambaye kwa sasa yupo nchini *Denmark *kikazi, amesema kuwa anawashangaa
watu wanaodhani kuwa msanii mzuri ni kuuza sura kwenye magazeti au kuwa na
kashfa na skendo.
Kauli ya msanii huyo ameitoa ukurasa wake wa mtandao kijamii wa Facebook
baada ya kuwaonesha mashabiki wake picha aliyopiga akiwa na mcheza zoka
maarufu *Michael Essien* nchini Ghana.
No comments:
Post a Comment