Wasanii wa kundi Jipya la muziki wa bongofleva pichani wakiwa na Produza
wao Lamar wa Fish Crab.Kundi hilo jipya ambalo Lamar ndo amelitengeneza ni
la wasanii wapyawa kike ambao wako chini ya Fish Crab.Kundi hilo linaenda
kwa jina Mashostizi linaundwa na Salma, Menyinah na Nuru.Lamar alisema kuwa
tayari ngoma ya kwanza imekwisha kamilika ila anasubiri kutengeneza Video
na Adam wa Visual Lab then ndo itatoka kama utambulisho rasmi wa kundi hilo
ambalo liko chini yake na kila kitu kuanzia kurekodi audio,video
kinagharamiwa na Fish Crab.
No comments:
Post a Comment