Kala Jeremiah baada ya kufanya vizuri katika ngoma yake inayokwenda kwa jina la
Dear God,sasa
leo
ameweka wazi kwamba siku ya tarehe 20 mwezi huu anatarajia kutoka na
album yake mpya inayokwenda kwa jina la Pasaka.Na hapo chini anaonyesha
cover yake mpya ya hiyo album.
No comments:
Post a Comment