Jina kamili anaitwa Rama Jangiri ambaye anahusika na uwizi wa vifaa vya
magaria hapa jijini Dar es Salaam kama Side mirror,power window na vitu
vingine tu,sasa mtuhumiwa huyu alikamatwa katika hotel ya Farway kwa
kutumia mtandano wa compyuta na hatimaye wanausalama wamefanikiwa
kumkamata na hii ni moja kati ya video ambayo wananchi wamemkamata huku
wana hasira naye.
No comments:
Post a Comment