• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Tuesday, December 4, 2012

    FILAMU ILIYOTOKA KAMA ZAWADI KWA MHE RAISI JAKAYA KIKWETE


    SHUJAA ZAWADI KWA Mh.KIKWETE
    Amani ni mmoja wa vijana aliyeguswa na kitendo cha Raisi JAKAYA
    MRISHO KIKWETE cha kuamua kupima VVU hadharani .Naye kuanzia hapo
    alijiwekea utaratibu wa kufanya hivyo kila baada ya miezi mitatu, na
    kwa bahati nzuri alikuja kufanya kazi katika shirika linaloshugulika
    na na kupima VVU na Ushauri nasaha. Siku moja alikutana na binti mzuri
    Fransisca akiwa katika mazingira ya kujiuza (changudoa). Alimuona ni
    mzuri sana akampenda, na akataka kujua zaidi .Hadithi ya maisha ya
    yule msichana ndio yanamfanya amani awe na imani zaidi .Lakini jambo
    moja linatatiza kati yao je yule msichana ni salama? hakuna
    kinachoweza kufumbua fumbo hili zaidi ya kwenda kupima kitu ambacho
    Francisca hakuwa tayari kutokana na idadi ya wanaume aliotembea nao.
    Ugumu wa jambo hilo haumkatishi tamaa amani, hatimaye anafanikiwa
    kuokoa maisha ya msichana huyo. Na kutimiza ndoto zake za kuwa shujaa
    kama Raisi Jakaya Kikwete.

    No comments:

    3500K