Akikabidhiwa zigo lake la ela
Akamkumbatia vyema Madam Ritha
Hapo washiriki wawili walipokuwa wakisikilizia majibu yao
PERFORMANCES
Benpol akimtunza Walter zawadi wakati anaimba nyimbo yake
Wababa akiwa anaimba na Mwasiti
Kutoka Zanzibar dada huyu ambaye ni mshindi wa pili Salma Albushiri akawakilisha vyema
MUONEKANO WA MAJUDGE
Ritha akimpaka PODA Master Jay
Madam Ritha akitoa coment
Salama akichekelea baada ya kumsifia Walter
No comments:
Post a Comment