• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Thursday, November 8, 2012

    WAKAMATWA WAKIWA WAMENASIANA WAKIFANYA MAPENZI HUKO TEMEKE DAR :

    Watu wawili wamekutwa wamegandiana kutokana na kuvunja amri ya sita (kufanya mapenzi)  kwenye gesti moja  huko temeke jijini dar es salaam  masahibu hayo yamewakuta  wawili hao baada ya  baada ya njema mmojakuchukua mke wa mtu ambaye inasemekana amefungwa kitamaduni kana kwamba yeyote atakayejaribu kumgusa kinyume na taratibu  basi atanasa na hivyo ndivyo ilivyokuwa iliyoiba mke wa mtu na kwenda naye kula raha nyumba ya wageni hapo temeke
    Hadi kufikia sasa watu hao wapo hospitalini ya temeke  ambapo jitihada za kuwatenganisha kwa wataalam zimeshindikana,Na mme wa mwanamke ameibuka na kudai alipwe milioni 5 za tz(Filex Mmari newz)  ili aweze kuwachanisha hao wawili :

    No comments:

    3500K