Unajua kuwa Tanzania inaidadi kubwa zaidi ya watu wazima wanaokojoa
vitandani kuliko kenya na hata Uganda? Via saluti5-www.saluti5.com
Tanzania ina watu wazima vikojozi, laki 5 ! Kenya inafuata karibu kabisa
kwa kuwa wanaume na wanawake laki laki 4.
Wanasayansi wanasema tatizo hilo la watu wazima kukojoa ni kubwa na
linasumbua wengi lakini kwa sababu ni jambo la aibu wengi hawataki
kulijadili.
Kuna mameneja wabunge na hata mawaziri ambao ni vikojozi
Takwimu zinasema kwamba katika kila watu wazima 100, mmoja wao ni kikojozi.
hivyo nchini ikiwa na idadi ya watu milioni 50 kama Tanzania
No comments:
Post a Comment