Wasanii wa kizazi kipya kutoka THT almaarufu kama Linah na Amini baada ya kutamba na ngoma zao kali hapa mpaka kupelekea mashabiki kukuali kazi zao sasa
Latest info ambayo tunafahamu hivi sasa kutoka kwa wasanii hawa ni kwamba walifanya collabo ya ngoma yao mpya chini ya Producer C9.Basi hii ndiyo ile time ya kusikiliza kile ambacho wameimba humo ndani dzain kama wametishaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

No comments:
Post a Comment