Mwanamuziki
muimbaji Rehema Chalamila maarufu kama RayC amekumbwa na tatizo kubwa
la kuathirika na madawa ya kulevya. Kwa sasa yumo katika hatua za
matibabu ya kujaribu kuondokana na tatizo hilo. Kwa kadri ya maelezo ya
mama yake dawa ambazo anahitaji kuzitumia ili kuponi ni gharama na pia
kama wote tunavyofahamu pia mgonjwa yoyote anatakiwa kula vizuri, mzigo
huu ni mkubwa kwa huyu mama, kwa hiyo kunahitajika msaada wa kubeba
mzigo huo. Wapenzi wa muziki wa binti huyu na watu wenye mapenzi mema
tunaweza kumsaidia mama huyu kwa kumtumia kiasi chochote cha fedha kwa
kutumia huduma ya tigo pesa kupitia namba 0655999700
Natanguliza shukrani kwa wote watakao weza kutoa msaada wowote kwa ajili ya matibabu ya mwenzetu :: FROM FILEX MMARI NEWZ
No comments:
Post a Comment